Mfumo wa mauzo
Tech Scales Co. Limited inatoa huduma bora ya mifumo ya kidigitali. Moja ya mifumo hiyo ni TS-POS n mfumo ambao unamuwezesha mfanyabishara kuona maendeleo ya biashara kiganjani. Mauzo, manunuzi, thamani ya duka, faida na hasara, matumizi ya dukani N.K. Piga simu kwa maelezo zaidi
Pata mauzo yote ya kila siku/wiki/mwezi/mwaka.
Tumia mfumo wa TS-POS. kupata mauzo yako ya siku, wiki, mwezi mpaka mwaka. Mfumo huu utakusaidia kujua mauzo yako yanapanda au yanashuka na kama yanapanda ni kwakiasi gani hvyo hivyo hata kushuka.
Pata kujua faida na hasara ya biashara yako.
Mfumo huu utakusaidia kujua kama unaendesha biashara yako kwa faida au kwa hasara.
Thamani ya biashara (Stock Value).
Pata kujua thamani ya biashara yako yote kwa wakati mmoja. Pata kujua thamani iliyobaki dukani.
Wadai/wadaiwa na Matumizi.
TSPOS itakusaidia kujua wangapi unawadai na wangapi wanakudai katika biashara yako. pia pata kujua matumizi ya duka